Tarehe 14 mwezi huu safari za treni zinatarajia kuanza

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
270
Reaction score
435
Cha ajabu hadi leo nauli hazijatoka ata matangazo kwenye redio na tv, hamna kuwajulisha wananchi mbalawa na kadogosa. Mlisema kweli au kamba ngoja tuone zimebaki siku 10 tu Morogoro iwe saa 1 na nusu watu wamefika kama kweli.
 
cha ajabu hadi leo nauli hazijatoka ata matangazo kwenye redio na tv hamna kuwajulisha wananchi mbalawa na kadogosa mlisema kweli au kamba ngoja tuone zimebaki siku 10 tu morogolo iwe saa 1 na nusu watu wamefika kama kweli
Hivi wizara ya uchukuzi ni ya Muungano? Tusijekuwa tunahujumiwa kama kwenye bandari
 
cha ajabu hadi leo nauli hazijatoka ata matangazo kwenye redio na tv hamna kuwajulisha wananchi mbalawa na kadogosa mlisema kweli au kamba ngoja tuone zimebaki siku 10 tu morogolo iwe saa 1 na nusu watu wamefika kama kweli

Hivi kumbe hizo safari hazijaanza tu hadi leo?
 
cha ajabu hadi leo nauli hazijatoka ata matangazo kwenye redio na tv hamna kuwajulisha wananchi mbalawa na kadogosa mlisema kweli au kamba ngoja tuone zimebaki siku 10 tu morogolo iwe saa 1 na nusu watu wamefika kama kweli
Hivi, kwa nini inakuwa ngumu kuzingatia alama za uandishi?
 
cha ajabu hadi leo nauli hazijatoka ata matangazo kwenye redio na tv hamna kuwajulisha wananchi mbalawa na kadogosa mlisema kweli au kamba ngoja tuone zimebaki siku 10 tu morogolo iwe saa 1 na nusu watu wamefika kama kweli
SafaLi ndio nini
 
Walitangaza mwisho wa mwezi wa saba. Hio tarehe 14 labda majaribio.
 
cha ajabu hadi leo nauli hazijatoka ata matangazo kwenye redio na tv hamna kuwajulisha wananchi mbalawa na kadogosa mlisema kweli au kamba ngoja tuone zimebaki siku 10 tu morogolo iwe saa 1 na nusu watu wamefika kama kweli
Mtungi, wewe ni mtungi kweli unashindwa kuandika SAFARI unaandika SAFALI! Kweli wewe ni mtungi.
MOROGOLO!
Kwa lugha za shule mtungi ni sifuri, yaani ukipata mtungi kwenye mtihani umepata SIFURI.
 
Mtoa mada yupo sahihi mwezi wa Saba mwishoni walisema ni dar to Dom safari zitaanza.
Lakini mwezi wa SITA mwishoni pia walisema dar to Moro safari zitaanza risiti tumetunza tunawazoom tu
 
Back
Top Bottom