Tarehe 16 may Yanga fc inatangaza ubingwa

Hadi sasa Yanga fc INA point 62 na michezo 3
Simba sc INA point 62 na michezo
Simba sc vs mwadui Simba inafungwa,Kisha Tarehe 16 Yanga inatangaza ubingwa
Najia Malinzi ameshawaambia hivyo, kapanga kila kitu! Safi sana kwa soka la bongo.
 
waache basi wanasubiria point tatu zao
 
Simba ilijichanganya yenyewe, so Yanga ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa japo si habari nzuri kwetu wadau wa soka maana nchi imekuwa haina uwakilishi mzuri kimataifa kwa karibu miaka 5!
 
Kama ubingwa wa ndani unawashinda mtawezaje kuiwakilisha nchi ? Kaeni huko huko mchangani
 
Simba ilijichanganya yenyewe, so Yanga ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa japo si habari nzuri kwetu wadau wa soka maana nchi imekuwa haina uwakilishi mzuri kimataifa kwa karibu miaka 5!
Nyie mikia mliopigwa katerero na kagera sugar mnajisifia kwa kugongwa na liboro halafu eti uwakilishi mzuri.Mzuri gani unagongwa katerero na kagera?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…