wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Nifanye sherehe? hapana. Nimeanza kufunga na kuanzisha maombi ili angalau mfungwe bao nane tu. Nyie si mlivyowafunga Horoya bao saba si mliona raha; Na nyie subirini 21/4 ndiyo mtajua mkuki kwa nguruwe nao unaumaSawa,fanya sherehe sasa
Wydad is Pronounced (as) Waidad. Au huko simba ngada imewaharibu akili?WAIDAD Ndio nini.
hivi kuna uhusiano gani kati ya kuwa shabiki wa yanga na UTAHIRA.
WE MATACLE KWELI sijakuliza inatamkwaje niekuuliza waidadi ndio nini kwa huo utahira ipo siku utatuandikia livapul,aseno, cheisii kwa kuwa ndivyo zinavyotamkwa au sio?Wydad is Pronounced (as) Waidad. Au huko simba ngada imewaharibu akili?