Tetesi: Tarehe 23/09/24 Wanajeshi watafanya usafi

Tetesi: Tarehe 23/09/24 Wanajeshi watafanya usafi

Maana wao wanakuwa kama maafisa usafi wa Jiji. Haya mambo utayasikia tu Afrika. Ulaya na Marekani ni ngumu.
Wamezoea kuua, wacha waje waue tena raia wasio na hatia kama walivyomuua Akwelina.

IMG_20240912_153418.jpg
 
Back
Top Bottom