Tarehe 23 Simba hatoki. Piga ua anakufa hapa kwa Mkapa

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Huko sijui CAF, sijui wapi, siyo suala kubwa sana. Sisi Yanga tutamchapa Simba kila mchezo ambao tutakutana naye. Tutamchapa ndani, tutamchapa nje.

Hili liwekeni akilini. Haya mengine ya sijui CAF, siju Confideration ni ziada tu. sisi tunapambana sana tuweze weka heshima mjini. Tumchape Simba na timu zote za NBC League. Sisi ni mabingwa wa kihistoria.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Huko sijui CAF sijui wapi siyo issue sana. Sisi Yanga tutamchapa Simba kila game ambayo tutakutana naye. Tutamchapa ndani, tutamchapa nje.

Hili liwekeni akilini. Haya mengine ya sijui Caf siju Confideration ni ziada tu.sisi tunapambana sana tuweze weka heshima mjini. Tumchape Simba na team zote za NBC league. Sisi ni Mabingwa wa kihistoria.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums1700694119.gif
JamiiForums-884994238.gif
JamiiForums764597660.gif
 
Kuna kitu Simba walifeli mechi ya ngao ya jamii na Yanga! Kuna sub Zoran alizifanya kipindi cha pili ziliingarimu sana Simba! Nina uhakika kwa Makocha waliopo sasa Simba wasingeweza kufanya sub zile! Tarehe 23 sio mbali tusubiri tutaona yatakayotokea.
Futa iyo mechi ya Ngao ya Jamii Rudi Tena Nyumba kabla ya Kuja Kwa Zoran uone mlikosea wapi[emoji1][emoji1].
Simba kwasasa Hana kikosi Cha kuifunga Yanga Tena wakijalibu kupaki basi watapigwa mpaka wachakae.
 
Tarehe 23 rudi hapa unipe matokeo ndio maana nimekwambia tusubiri.
 
Huko sijui CAF, sijui wapi, siyo suala kubwa sana. Sisi Yanga tutamchapa Simba kila mchezo ambao tutakutana naye. Tutamchapa ndani, tutamchapa nje.

Hili liwekeni akilini. Haya mengine ya sijui CAF, siju Confideration ni ziada tu. sisi tunapambana sana tuweze weka heshima mjini. Tumchape Simba na timu zote za NBC League. Sisi ni mabingwa wa kihistoria.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Si bure unacheka unamatatizo ya kiakili kamcheki doctor waafya
 
Futa iyo mechi ya Ngao ya Jamii Rudi Tena Nyumba kabla ya Kuja Kwa Zoran uone mlikosea wapi[emoji1][emoji1].
Simba kwasasa Hana kikosi Cha kuifunga Yanga Tena wakijalibu kupaki basi watapigwa mpaka wachakae.
Ni bora ukawa unanyamaza some tymes maana comments zako baadae huwa reference za kichekesho. Mwaka huu hamtoboii labda mjitahidi huko confideration ila kwa humu ndan Simba tutawafumua. Aaahahaha eti simba haina kikosi duu mpk huruma jipeni moyo banduguuu midomo yenu itawaponza tena kama ilivyowaponza jana.
 
Kila wanaposhika hapashikiki, walisema mtu atapigwa kama ngoma, fimbo za kupigia ngoma zikaibwa😀😀
 
Wenzenu Al hilal refa alikua Nyota wa mchezo uku wakiwa wamepaki basi, Sasa Ipange timu yenu icheze na Yanga muwe na refa kama yule na Mpaki basi tuone kama mnazo Beki za kutuzuia tusiwafunge.
Msije mkajidanganya mkafikiri Al hilal ilikua rahisi kupata matokeo, ime mmbidi refa adhalilike Kwa kiwango juu sana na Kocha Ibenge aombe Dua muda wote wa mchezo si kazi rahisi Kwa Afya ya kocha Mgunda akiamua kucheza vile.
 
Huko unakosema hujui CAF, ungeulizia kwanza Kuna mpunga kiasi gani ndiyo uje hapa JF. Pia unapaswa Kujua malengo ya timu ni nini, hata wachezaje wanatamani wacheze michuano hiyo, wewe usiejua ungekaa kinya

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wenzenu Al hilal refa alikua Nyota wa mchezo uku wakiwa wamepaki basi, Sasa Ipange timu yenu icheze na Yanga muwe na refa kama yule na Mpaki basi tuone kama mnazo Beki za kutuzuia tusiwafunge.
Msije mkajidanganya mkafikiri Al hilal ilikua rahisi kupata matokeo, ime mmbidi refa adhalilike Kwa kiwango juu sana na Kocha Ibenge aombe Dua muda wote wa mchezo si kazi rahisi Kwa Afya ya kocha Mgunda akiamua kucheza vile.
"Laana ya Manara, Yanga kuingia makundi kuna" mitano mingine"
 
Ni bora ukawa unanyamaza some tymes maana comments zako baadae huwa reference za kichekesho. Mwaka huu hamtoboii labda mjitahidi huko confideration ila kwa humu ndan Simba tutawafumua. Aaahahaha eti simba haina kikosi duu mpk huruma jipeni moyo banduguuu midomo yenu itawaponza tena kama ilivyowaponza jana.
Yeye anyamaze ila we KOLOWIZARD uongee ilihali bando ni lake mwenyewe, hivi kwanini MAKOLO mnaendelea kumpatia point 3 muhimu ADEN RAGE za kuitwa MBUMBUMBU [emoji848]
 
Back
Top Bottom