Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Wanakula hela za wajingaHahaha, na kina aziz, morison account zinanenepa tu.
Huko sijui CAF sijui wapi siyo issue sana. Sisi Yanga tutamchapa Simba kila game ambayo tutakutana naye. Tutamchapa ndani, tutamchapa nje.
Hili liwekeni akilini. Haya mengine ya sijui Caf siju Confideration ni ziada tu.sisi tunapambana sana tuweze weka heshima mjini. Tumchape Simba na team zote za NBC league. Sisi ni Mabingwa wa kihistoria.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kitu Simba walifeli mechi ya ngao ya jamii na Yanga! Kuna sub Zoran alizifanya kipindi cha pili ziliingarimu sana Simba! Nina uhakika kwa Makocha waliopo sasa Simba wasingeweza kufanya sub zile! Tarehe 23 sio mbali tusubiri tutaona yatakayotokea.Wanakula hela za wajinga
Futa iyo mechi ya Ngao ya Jamii Rudi Tena Nyumba kabla ya Kuja Kwa Zoran uone mlikosea wapi[emoji1][emoji1].Kuna kitu Simba walifeli mechi ya ngao ya jamii na Yanga! Kuna sub Zoran alizifanya kipindi cha pili ziliingarimu sana Simba! Nina uhakika kwa Makocha waliopo sasa Simba wasingeweza kufanya sub zile! Tarehe 23 sio mbali tusubiri tutaona yatakayotokea.
Tarehe 23 rudi hapa unipe matokeo ndio maana nimekwambia tusubiri.Futa iyo mechi ya Ngao ya Jamii Rudi Tena Nyumba kabla ya Kuja Kwa Zoran uone mlikosea wapi[emoji1][emoji1].
Simba kwasasa Hana kikosi Cha kuifunga Yanga Tena wakijalibu kupaki basi watapigwa mpaka wachakae.
Nime kusoma, Tusubiri tuone.Tarehe 23 rudi hapa unipe matokeo ndio maana nimekwambia tusubiri.
Si bure unacheka unamatatizo ya kiakili kamcheki doctor waafyaHuko sijui CAF, sijui wapi, siyo suala kubwa sana. Sisi Yanga tutamchapa Simba kila mchezo ambao tutakutana naye. Tutamchapa ndani, tutamchapa nje.
Hili liwekeni akilini. Haya mengine ya sijui CAF, siju Confideration ni ziada tu. sisi tunapambana sana tuweze weka heshima mjini. Tumchape Simba na timu zote za NBC League. Sisi ni mabingwa wa kihistoria.
ππππππππππππππ
Ni bora ukawa unanyamaza some tymes maana comments zako baadae huwa reference za kichekesho. Mwaka huu hamtoboii labda mjitahidi huko confideration ila kwa humu ndan Simba tutawafumua. Aaahahaha eti simba haina kikosi duu mpk huruma jipeni moyo banduguuu midomo yenu itawaponza tena kama ilivyowaponza jana.Futa iyo mechi ya Ngao ya Jamii Rudi Tena Nyumba kabla ya Kuja Kwa Zoran uone mlikosea wapi[emoji1][emoji1].
Simba kwasasa Hana kikosi Cha kuifunga Yanga Tena wakijalibu kupaki basi watapigwa mpaka wachakae.
Kila wanaposhika hapashikiki, walisema mtu atapigwa kama ngoma, fimbo za kupigia ngoma zikaibwaππNi bora ukawa unanyamaza some tymes maana comments zako baadae huwa reference za kichekesho. Mwaka huu hamtoboii labda mjitahidi huko confideration ila kwa humu ndan Simba tutawafumua. Aaahahaha eti simba haina kikosi duu mpk huruma jipeni moyo banduguuu midomo yenu itawaponza tena kama ilivyowaponza jana.
Wa mchangani wakijipa Moyo Baada ya kupigwa mtungo/mande Jana.
"Laana ya Manara, Yanga kuingia makundi kuna" mitano mingine"Wenzenu Al hilal refa alikua Nyota wa mchezo uku wakiwa wamepaki basi, Sasa Ipange timu yenu icheze na Yanga muwe na refa kama yule na Mpaki basi tuone kama mnazo Beki za kutuzuia tusiwafunge.
Msije mkajidanganya mkafikiri Al hilal ilikua rahisi kupata matokeo, ime mmbidi refa adhalilike Kwa kiwango juu sana na Kocha Ibenge aombe Dua muda wote wa mchezo si kazi rahisi Kwa Afya ya kocha Mgunda akiamua kucheza vile.
Yeye anyamaze ila we KOLOWIZARD uongee ilihali bando ni lake mwenyewe, hivi kwanini MAKOLO mnaendelea kumpatia point 3 muhimu ADEN RAGE za kuitwa MBUMBUMBU [emoji848]Ni bora ukawa unanyamaza some tymes maana comments zako baadae huwa reference za kichekesho. Mwaka huu hamtoboii labda mjitahidi huko confideration ila kwa humu ndan Simba tutawafumua. Aaahahaha eti simba haina kikosi duu mpk huruma jipeni moyo banduguuu midomo yenu itawaponza tena kama ilivyowaponza jana.