Tarehe 23 Simba hatoki. Piga ua anakufa hapa kwa Mkapa

Sahau hilo suala tarehe 23 Oktoba 2022, Simba anashinda hiyo Game 100%
 
Futa iyo mechi ya Ngao ya Jamii Rudi Tena Nyumba kabla ya Kuja Kwa Zoran uone mlikosea wapi[emoji1][emoji1].
Simba kwasasa Hana kikosi Cha kuifunga Yanga Tena wakijalibu kupaki basi watapigwa mpaka wachakae.
Kushinda Derby ya Yanga na Simba issue sio vikosi Mzee, au umeanza kuangalia hizi mechi Juzi?

Matokeo ya Simba na Yanga waga hayana uhusiano na ubora wa vikosi ata siku moja, kama mnakumbuka kipindi Yanga anachukua makombe mara 3 mfululizo alibahatika kumfunga Simba mara 2 tu katika mechi 8

Kipindi hicho Simba ina wachezaji wa kuunga unga tu ila Yanga alikuwa Hana uwezo wa kumfunga Simba ata na akimfunga basi ni Kwa hujuma hujuma sana na sio uwezo

Na Simba wakati anachukua makombe mara 4 mfululizo, pamoja na ubora wake aliokuwa nao ila alibahatika kumfunga Yanga mara 2 tu

Kipindi hicho Yanga ina wachezaji wa kawaida sana ila Simba alikuwa akiambulia draw au kuchezea kipigo

Kwahiyo kushinda kariakoo derby wala hakuna uhusiano na uzuri wa vikosi ni mipango tu ya nje wa uwanja, na kilichowaponza Simba hii misimu kadhaa ni kujifanya wazungu ilhali Yanga wao hawajaacha Asili yao
 
Acha ushabiki Maandazi wewe, hebu taja tukio moja tu ambalo refa wa mchezo wa jana alizingua?

Wewe ndio shabiki wa utopolo wa Kwanza kumskia akisema eti refa alikuwa upande wa Al hilal, nyie kubarini tu kuwa mmtolewa na muache visingizio vya kijinga
 
Yeye anyamaze ila we KOLOWIZARD uongee ilihali bando ni lake mwenyewe, hivi kwanini MAKOLO mnaendelea kumpatia point 3 muhimu ADEN RAGE za kuitwa MBUMBUMBU [emoji848]
Mara nyingi comments zake zinakuja kumwadhibu. Pole nimetifua mshono wa jana
 
Umemalizaa ila kwa sasa watapigwa tuu huo ujinga wao mgunda anaujua
 
Jamani mimi sijawahi kuwa mtabiri ila Utopolo waandae kamba za kujitundika Simba inaenda kuwapiga nasema hivi na mtapigwa tuuu. Moyo wangu una imani kubwa kuwa mechi hii Simba tunashinda. Reserve my comment
Hatuna kupumua....hatuna kusubiri[emoji28]
 
Ndicho kilichobakia..sasa kwa taarifa yenu safari tunawafunga..tafuteni kimbilio lingine
 
Ile game ya jana kosa la refa lilikuwa ni lipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Futa iyo mechi ya Ngao ya Jamii Rudi Tena Nyumba kabla ya Kuja Kwa Zoran uone mlikosea wapi[emoji1][emoji1].
Simba kwasasa Hana kikosi Cha kuifunga Yanga Tena wakijalibu kupaki basi watapigwa mpaka wachakae.
Wazee wa kuvunja mageti ili waingie kichawi..au hujui hilo? Idiot utopolo
 
Wazee wa kuvunja mageti ili waingie kichawi..au hujui hilo? Idiot utopolo
Simba ndio timu inayo tambuliwa na CAF Kwa vitendo vya kishirikina uwanjani, Hadharani tena Ugenini.
 
Naona unajifariji kutokana na kipigo cha jana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…