October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
😄😄 napenda hiyo hashtag yako "Na bado" sasa huu uzi wako unalia, unalaumu, unafurahia au unaneng'eneka?Mwekundu kama damu ya ngisi. Msalaba. Mwekundu utaanza kutoa surprise zake 26 kuelekea jioni. Hawa watu tumeshindwaje kuwashika.
Niliwaambia msiwapuuze. Mmemuacha mtu mpaka anatoroka nje ya nchi. Angetakiwa akamatwe ili aseme wengine.
Tupo kenye kitisho hatuwezi nini kipo mbele yetu. Walah! Sijui lakini hatutakubali kupoteza amani kwa baradhuli hawa. Picha zenu tunazo.
Zamu yenu imefika. Two day to go. Na bado.
hasira unazileta huku mkuu
Wewe utachanganyikiwaZamu yenu imefika. Na bado
Na bado
Wewe utachanganyikiwa
Bado mnapiga mikwara?