Tarehe 28 May, Yanga SC Wanaenda Kuwafunga Simba SC Kwenye Kombe la ASFC

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Ukitazama kwa umakini na ukaweka kando ushabiki na mapenzi utakuja gundua kuwa kwa kikosi hiki cha wakina Chibu Denis, Sakho na pimbi wenzao wakina Banda utagundua dhahiri kuwa hakuna jambo jipya wanaweza kuja fanya kwenye safu ya ulinzi ya wakina Job & Bakari.

Ukizingatia zaidi mechi itachezwa katika uwanja usio rafiki kwa aina hii ya wachezaji wanao penda kukokota kokota hovyo mipira bila malengo ya kiweledi.

Cha zaidi kabisa ukizingatia mechi hiyo hapatokuwapo na CHAMA, Thadeo, Morrison wala Mkude, ndipo unapo choka zaidi.

Kwa kifupi sioni namna yeyote inayowezekana Simba waka maliza Ligi wakiwa na chochote kitu cha msimu 2021/22.

Sio matumaini yeyote ya Ushindi siku hiyo, unless uwe na kichwa kigumu kung’amua facts.
 
Andika ujuavyo lakini kumbuka iyo ni Darby.
Upo sahihi sana mkuu. Na kawaida ya deeby ni kwamba timu ambayo inadhsraulika huwa anaingia kwajili ya kustaajibisha wale wanaojifanya wana timu iliyokamilika. Derby huwa haitabiliki
 
Wewe hujui mpira. Umekuwa overexcited na matokeo ya leo, sasa unaanza kuropoka tu. Yanga kacheza vibaya karibu game tatu zilizopita. Unapata wapi uhalali wa kuja na imani hiyo?
 
Kolo na wafuasi wake wana wakati mgumu,raha waliyobakiwa nayo ni MAYELE kutofunga
 
Mzee Mpili atakuwepo kirumba? Kama atakuwepo Yanga atafungwa!! Kumbukeni ya kigoma!!
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…