Uchaguzi 2020 Tarehe 28 Oktoba 2020! Kura yako ni kwa Mgombea John Pombe Magufuli kupitia Chama cha mapinduzi (CCM)

Magufuli oyeeee ....tukapige kura nyingi ushindi wa kishindo mamamakeeeeeee..

Machoko ya chadema yanajifanya yanapiga kelel sana humu jf. Na wengi wao hawataki kazi janja janja.
 
Siku zote hizi ulikuwa bado hujaamua umchague nani?.Anyway,kila mtu ashinde mechi zake.Muhimu kura zipigwe na zilindwe bampa to bampa!
 
Magufuli oyeeee ....tukapige kura nyingi ushindi wa kishindo mamamakeeeeeee..

Machoko ya chadema yanajifanya yanapiga kelel sana humu jf. Na wengi wao hawataki kazi janja janja.
Yaani Magufuli Anashinda Mapema sana
Makelele ya Humu ni Vibendera wenye ID Kumi kumi hawana Lolote
Uwe mzima umpigie kura Lisu
Hata Shetani Atakushangaa
 
Yaani Ukoo wenu Magufuli analamba kura 20
Yako Hata ukiitupa chooni Haina Taabu ndugu
Ni Magufuli tu mpaka 2025
Acha kulisha ukoo wangu matapishi.
Katika jambo tumeapizana ni kutopeleka kura yoyote ccm!
 

Watanzania mkimchagua tena huyu jamaa mtajuta. Na wala siwatishi ila huo ndio ukweli.

Mzee wa mitano tena atawatesa mnoo hakuna mfano.
 
Labda kama nimerogwa!
Niwe mzima hivi kabisa halafu nichague Magufuli? Haiwezekani! Mzee alitujibu kwa nyodo mno hamkumbuki wakati anasema hawezi kubembeleza watu? Sasa leo imekuwaje tena anatubembeleza? Kama anataka kura za wengi agalagale chini wakati anaomba kura!
 
Vijana kukaa humu na kutukana matusi sio suluhisho la matatizo yenu kimsingi ni kumchagua JPM Taifa liweze kusonga mbele
 
Watanzania hawatakula Demokrasia bali wanaitaji Kiongozi mahiri na madhubuti ili aweze kuwaletea maendeleo na kusimamia rasilimali vizuri za Taifa

Lissu kazi hii haiwezi kiukweli hata Mzee wangu Lowassa asingeweza hii kazi
 
Sasa Kama Kichwani upo Sawa Utaachaje Kumpa Kura John Pombe Magufuli!!
Huyu ndiye Rais wa Tanzania mpaka 2025
Usiogope Kelele za Vibendera humu jf
Unashangaza sana wewe kapuku! Hivi mpaka Leo humjui ambaye hayuko sawa kichwani ni nani?
Wasio sawa kichwani ndio wanamchagua huyo?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…