NAPITA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,077
- 2,246
[h=3]Hii kitu nimekutana nayo kwenye blog mmoja twitter
TAREHE YA KURIPOTI KUANZA MASOMO YA KIDATO CHA 5 NI TAREHE 29 MWEZI HUU.[/h]
[h=2][TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"] Naibu waziri wa Elimu Philipo Mulugo anaendelea kutangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa Mwaka 2013 na amesema tarehe rasimi ya kuripoti kwa wale wote watakao kuwa wamechaguliwa ni tarehe 29 mwezi huu wa saba katika shule watakazo kuwa wamepangiwa,Ameendelea kusema nafasi 18,564 za masomo ya Sayansi zote zimejazwa.Jumla ya wanafunzi 34,482 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano,Wanafunzi 33,683 ndio wamepata nafasi ya kujiunga na kidato cha Tano kwa mwaka 2013 wasichana wakiwa 10,3000 na Wavulana wakiwa 23,383......!!!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE][/h]

[/TD][/TR]