Tarehe 29 Oktoba ni siku ya kuifuta CCM na kulikomboa Taifa

Mtatutakana matusi yote mwaka huu.

Jiandaeni tu kutoroka Tanzania na familia zenu.
Yaani eti wao wawaache watoto wao nyumbani wanakwenda kuwapiga risasi watoto wa wenzao. Tena wanaowasaidia kutetea haki zao. Wakirudi majumbani mwao nao wakakutane na misiba milangoni.
 
Wamtanzania mwaka huu tukishindwa kulikomboa Taifa letu hata sisimizi watashangaa
 
Hizo ni vurugu unaamasisha tuna ndugu zetu wengi wako ccm na wala hawana Ufisadi wowote choka mbaya kama sisi hawa ukiwafanyia vurugu ni kuwaonea cha msingi nyoka kupiga kichwa
 
Mwambie ndugu yako aungane na wananchi wapenda haki tarehe 29 asibaki nyumbani.

Akibaki tutajua ndo wale wale.
Tuwaunge mkono JWTZ tulikomboe Taifa letu. Mimi nitaongoza mapambano.
 
Tuwaunge mkono JWTZ tulikomboe Taifa letu. Mimi nitaongoza mapambano.
Kabisa.

Hawa watu wametuchezea sana.

Wanawaandalia watoto zao uhakika wa maisha wakati watoto wa wengine hawana ramani ya kueleweka ya maisha.

Muangalie mtoto wa fisadi mwigulu mapema anaanza kuandaliwa maisha kwa njia za upendeleo.

Hapo bado ndugu zao wengine wanaowatafutia kazi na ajira za kudumu huku wananchi wa kawaida wakiwa hawajui wafanye nini.

Tusipotoka Oct 29 tutakuwa tunajikosea pakubwa sana.
 
Wanawafanya watoto wa wenzao wawe machawa wa watoto wao huku wakizidi kutamalaki kwa fedha za ufisadi.
 
Wanawafanya watoto wa wenzao wawe machawa wa watoto wao huku wakizidi kutamalaki kwa fedha za ufisadi.
Acha tu.

Unajiuliza wenzetu wana kipi cha ziada cha kufanya waishi maisha mazuri kupitiliza?

Kama kusoma wote tumesoma wao wana kitu gani cha ziada.

Unakuja kugundua hawana kitu cha ziada zaidi ya ufisadi na wizi wa mali na pesa za umma kujinufaisha wao na familia zao.

Hii hali lazima ikomeshwe ili sote tuinjoi keki ya taifa.
 
Mungu anaikomboa kweli Tanzania mwaka huu. Watu wamesali sana na maombi yao yanajibiwa.
 
Shida inakuja hapo kwenye kuwa mbuzi wa kafara. Na watawala wanalijua hilo vizuri hivyo huko waliko wanacheka tuu.
Halafu watu mnapgopa tu
Hiko ndani hakuna isue msifikiri kina pole,Gwajima,na huyu tesha wamekurupuka
Jifunzeni kusoma allama za nyakati
 
Hiyo njia ya octoba29 ndiyo iliyo tumika kuwaondoa wajomba zake samia kule Zanzibar
 
Tarehe 29th ni KISHINDO CHA WAKOMA.....yaaji WASHAMI LAZIMA WAKIMBIE maana MUNGU atakuwa pamoja na sisi.
 
Hiyo njia ya octoba29 ndiyo iliyo tumika kuwaondoa wajomba zake samia kule Zanzibar
Na ndo njia ikiyofanikisha mabadiliko ya nchini Nepal siku chache zilizopita
 
Hiyo itakuwa siku ya baraka kwa taifa hili.
 
October to remember.

Heko JWTZ.

Malizeni mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…