Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
Na tunaishi chini ya Dola 1.Watanzania tunalalamika saaaaaana. Ila kiukweli ni moja ya nchi chache DUNIANI ambazo unapata bando la uhakika chini ya USD 1. Ni nchi chache sana zina kiwango hiko. Tuwe na shukrani.
Jiandae kuliaWametoa taarifa kuwa watafanya maboresho. Sasa ni lipi watalifanya?
Unaongelea 1 dollar kununua bando, wakati ni pato ambalo kwa mwananchi wa kawaida ni kipato cha wiki. Uchumi wetu kwa wengi upo chini sana.Watanzania tunalalamika saaaaaana. Ila kiukweli ni moja ya nchi chache DUNIANI ambazo unapata bando la uhakika chini ya USD 1. Ni nchi chache sana zina kiwango hiko. Tuwe na shukrani.