acha uongoNoma sana wakuu, tarehe tajwa hapo juu 31.03.2022, shirika la serikali la mawasiliano litatupiga na kitu kizito sana kichwani, wanapandisha vifurushi.
Bufee inaweza kuondolewa maana inawatia hasara tu. Toboa night HAIRUDISHWI ng'o
Si mnakumbuka tuliambiwa tuhamie Burundi tukaanza kuleta mapozi?[emoji1787]
Sasa nyumbani kunafuka moshi.
Tujiandae kisaikolojia.
Tatizo na hawa watu wa fiber nao hawajasambaa sehemu kubwa ingekua nafuu Sana kwetuZamani vifurushi hadi raha
Jua kwanza gharama ya kitu chochote hutegemea uchumi wa nchi, chip kavu za bongo usidhani ukienda marekani 🇺🇸 utanunua kwa buku jero.Watanzania tunalalamika saaaaaana. Ila kiukweli ni moja ya nchi chache DUNIANI ambazo unapata bando la uhakika chini ya USD 1. Ni nchi chache sana zina kiwango hiko. Tuwe na shukrani.