Tarehe 7 april - siku ya afya duniani

Tarehe 7 april - siku ya afya duniani

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Ingawaje mada ni afya, nimeona bora kuituma hapa kutokana na umuhimu wa siku hii,
pia kutokana na mapenzi yangu kwa Familia yangu ya JF.

Ninawatakia Wana Jamii Forum, Watanzania na Walimwengu wote,
AFYA NJEMA ikiambatana na FURAHA TELE.

Tusisahau kuzingatia wito wa mwaka huu: Matumizi mabaya ya Antibiotics - Tusipochukua hatua leo, kesho tutashindwa kutibika.
Kwa maelezo zaidi, chungulia hapa: WHO | 10 facts on antimicrobial resistance

AFYA NJEMA KWA WOTE.
 
Thank you
Nakutakia afya njema na wewe

Na faraja
Kwa ambao
Wanamatatizo
Mbalimbali mbalimbali ya kiafya..
 
Thanks,You too!!
Uwe na afya njema kabisa.
 
Shukrani kwa kutujuza mwaya
Antibiotics mie huwa sizitumiii mpk ushauri wa dk
 
Nimekusoma, nimekuelewa!!! thanks sana tu!!
 
Back
Top Bottom