Ingawaje mada ni afya, nimeona bora kuituma hapa kutokana na umuhimu wa siku hii,
pia kutokana na mapenzi yangu kwa Familia yangu ya JF.
Ninawatakia Wana Jamii Forum, Watanzania na Walimwengu wote,
AFYA NJEMA ikiambatana na FURAHA TELE.
Tusisahau kuzingatia wito wa mwaka huu: Matumizi mabaya ya Antibiotics - Tusipochukua hatua leo, kesho tutashindwa kutibika.
Kwa maelezo zaidi, chungulia hapa: WHO | 10 facts on antimicrobial resistance