Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Familia yake ilifanya misa ya kumbukumbu jana nchini Morocco, hao wamama wawili ni wajane wa Mobutu na ni mapacha kutoka tumbo moja. Hawa wanaume ni watoto wa Mobutu.
Mobutu aliwekeza mali nyingi Morocco ikiwemo kufungua kiwanda cha jutengeneza magari ya kifahari. Uwekezeji mwingine aliufanya Ureno ambako wajane wake wanamiliki nyumba kadhaa na wanaishi nchi zote mbili Morocco na Ureno.