Ndio nipo kibaha nitashuka shekilangoMwalimu wangu wa kiswahili shule ya msingi alinifundisha neno hili linatumika mara nyingi kama unaagana pasipo majaaliwa ya kuonana Tena, mfano unaenda vitani.
Tarehe 9 Desemba nitaungana na wale wote wanaotaja kumng'oa mkoloni mweusi anayejificha kwa kivuli Cha Ccm.
Nitashiriki kikamilifu kuipambania Tanganyika safari ambayo inaweza kusitisha uhai wangu au kunipatia kilema Cha kudumu.
Nakwenda bila kushawishiwa na mtu bali kwa mapenzi yangu kwa Tanganyika na kuondoa usultani uliojitokeza.
Aluta Continua
TutakupokeaNdio nipo kibaha nitashuka shekilango
Ukiwa huna cheo jeshini huwi chombo unakua bakuli.VYOMBO VYA ULINZI RUVUMA VYAUNGANA KUHAKIKISHA JAMII ZINAENDELEA KUWA SALAMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma kwa Kushirikiana na maafisa na askari toka vyombo vya ulinzi na Usalama Ruvuma limefanya matembezi (Route match) na mazoezi ya pamoja kwa lengo la kujenga mahusiano mazuri baina ya Majeshi pamoja na kuimarisha afya ya mwili na akili.
Matembezi hayo yamefanyika Disemba 04, 2025 katika maeneo yote ya Manispaa ya Songea na viunga vyake yakihusisha matembezi na kukimbia baina ya askari hao.
Mazoezi na kushirikiana baina ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Ruvuma imekuwa ni desturi lengo likiwa kuwaakutanisha pamoja na kubadilishana mambo mablimbali ya kiutendaji na kuwa tayari kukabiliana na changamoto yoyote itakayotokea mbele
#halisimax #halisinewsflashView attachment 3512486
HakikaUkiwa huna cheo jeshini huwi chombo unakua bakuli.
Kutwa kucha una tembezwa kama chizi asiye na uelekeo wala kujali muda.
Sijawahi kupoteza pambano tarehe 29.10.2025.Niliongoza Maandamano kikamilifu na Sirari yangu hapa kuwa na uchaguzi kabisa.Mwalimu wangu wa kiswahili shule ya msingi alinifundisha neno hili linatumika mara nyingi kama unaagana pasipo majaaliwa ya kuonana Tena, mfano unaenda vitani.