Kama ishara ya upendo wangu kwake, nimedhamiria siku ya kusherehekea kumbukumbu ya nchi yetu kupata Uhuru kwa kuelekea kagera ambapo pamoja na mambo mengine nitadhuru eneo maarufu ambalo linapendekezwa kujengwa mnara Wa kumbukumbu, eneo LA pushap.
Kama mnakubaliana na kazi au utendaji wake basi Sikh hiyo mtaungana na Mimi lakini kama hamkubaliani na utendaji wake basi nataraji kuwa Sikh hiyo nitakuwa peke yamgu pale uwanjani na wala sitapata hata matazamaji.
Ni hayo tu