SaintErick
Member
- Aug 7, 2013
- 90
- 53
Jaman wana jukwaa naombeni msaada kwa ataeweza kupata tarehe ambapo matokeo ya kidato cha nne yalitolewa kwa miaka ifuatayo
2010,2011,2012,2013 na 2014
na pia kama ukiweza kupata hoja na malalamiko ya wanachi baada ya kutolewa malalamiko hayo itakua safi saana (chanzo chochote kile kama jamii forum,facebook,magazet n.k)