Tarehe halisi ya Ijumaa Kuu mwaka huu ni ipi hasa kati ya Aprili 8 na 15?

Shida yako hata hujui ukichoandika ulitaka kusema nini. Unafikiri jadith za kina Willy gamba ni za kweli?
 
Mkuu kama wewe ni Mkristu ulipaswa kujua hili. Kwamba siku za Jumapili huwa hazihesabiwi kama quaragesma(kwaresma).

Na kwa wakatoliki (kanisa mama) ambao kimsingi ndio waandaji wa calendar zote za vipindi vya mwaka wa kanisa. Niishie hapo
 
Uko sahihi Mkuu. Mletamada alipaswa kuuliza ili aeleweshwe badala ya kuzungumza kwa uhakika.
 
sawa mkuu ila ukihesabu kuanzia jumatano ya majivu tarehe 2/3/2022 siku ya arobaini inaangukia tarehe 8/4/2022 na pasaka yake 10. kwa tarehe ulizosema ni zaidi ya siku 40
Hatuwesabu jumapili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…