Tarehe hizi anaweza kupata ujauzito?

svoca

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
373
Reaction score
69
Samahani wataalamu, nina mke wangu ametoka katika siku zake tangu tarehe 12 mwezi huu, sasa tarehe 24 kama nimekutana nae anaweza kupata ujauzito?
 
Kwenye mada umeandika vyema ila kwenye heading majanga.

Ukiwa unahitaji msaada ni vyema ukaandika kiswahili fahasa, kwani heading yako inaweza kusababisha watu wakaignore thread yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…