Tarehe kama ya leo mwaka 1965 Malcom X aliuawa kwa kupigwa risasi, huyu Mwamba ni moja ya wapigania haki weusi huko Marekani aliyekuwa na ushawishi mkubwa sana.
Dunia haijawahi kuwa sehemu ya haki! Hakuna kitu matajiri wanachukia kama kutaka wawe sawa kwa haki na maskini! Ukijaribu tu huwa wanaungana na kuhakikisha wanakuondoa.
Dunia haijawahi kuwa sehemu ya haki! Hakuna kitu matajiri wanachukia kama kutaka wawe sawa kwa haki na maskini! Ukijaribu tu huwa wanaungana na kuhakikisha wanakuondoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.