pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Nilishangaa jana kuona wakenya wakimkumbuka Moi na siku ya Moi dei wakati siku yenyewe ilifutwa kwenye kalenda na sio sikukuu rasmi tena. Ni kweli lakini, atakumbukwa pia kwa mazuri aliyoyafanya.Tunapaswa kusherehekea kazi yake ya ushindi. Hawa ndio watu wanaojulikana kwa kazi yao kwa ajili ya ubinadamu.
Hahaha! [emoji1] Acha wale walionyweshwa haya maziwa na Nyayo waje watuhadithie. Sisi enzi zetu tulikuwa tukingoja kwa hamu kubwa kengele ipigwe ili tukimbie nyumbani tukanyonye maziwa ya mama. [emoji23]πNajua wewe hukuyanywa yale maziwa. Ulikuwa dunia nyingine.π
Hahaaaha Hata mimi huhadithiwa tu. SikuyapataHahaha! [emoji1] Acha wale walionyweshwa haya maziwa na Nyayo waje watuhadithie. Wengine wetu tulikuwa tunangoja kwa hamu kengele ipigwe ili tuende tukanyonye. [emoji1]
Nasikia kuna mpango wa kurejesha huo mradi wa kugawa maziwa kwa wanafunzi wote wa shule ya msingi.Hahaaaha Hata mimi huhadithiwa tu. Sikuyapata
Wameishi kusema hivyo. Sijui watatekeleza lini. Ni vizuri tulipe madeni kwanza.Nasikia kuna mpango wa kurejesha huo mradi wa kugawa maziwa kwa wanafunzi wote wa shule ya msingi.