Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

kiburudisho,,,,,umemburudisha...............katoto tumboni kinaburudikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,,,,,,,,,,,,,,,,,,safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaCONDOM?????????????????? MLISAHAUUUUUUUUUUUUUU??????????????????

Inawezekana kama haiwezekani. Ya mwisho alipata period ni lini? na kwa kawaida anapata period kila baada ya siku 28 ao 30? piga hesabu kuanzia siku ya kwanza aliona period mara ya mwisho, hesabu siku nane. kuanzia hapo kuna hatari hadi siku aya 16. baada ya hapo nafuu kidogo (kama ana pata kila baada ya siku 18). I hope naeleweka, vingine kanunue kale ka test ni Tsh 1000 tu.

Mkuu kiburudisho we can do calculation kama ukitoa hizi data -

1) when was her last Mens. date .... kabla hamja Do .....

2) Tupe Average period (days) ... ( ni muhimu kujua cycle either ni 26days ama 30 days etcl...)

Mkuu kama huna cha kujibu tulia ... ila wacha nikuelimishe there are safe days of not getting pregnancy na duration varies from person to person & is usually between 26 to 31 days.

kuna kitu tunaita ovulation huwa inatokea at the mid of cycle (minus) 14 days (this also varies). "kama unajuwa cycle ya mwenzawako"

kuna kitu twaita Fertile period inatokea a week before and a week after the approximate day of ovulation.

The days apart from this is called the safe periods, where the fertilization does not takes place. Unaweza ukaingiliana na mwenza wako na probability ya kupata ujauzito ni ndogo. ( hence this doesnt apply kwa wanawake wenye irreguler cycle)

Mfano-

kama mwenza wako menstrual cycle varies from 26days to 31days cycle calculation itakuwa hivi -

The shortest cycle [26days] minus18days=8th day.

The longest cycle [31days] minus 10days=21st day.

kwahiyo 8th to 21st day of each cycle counting from first day of menstrual period (siku ya kwanza aliyo bleed) is considered as fertile period. Na ndio siku hatari zaidi za kupata ujauzito

Period other than this fertile period in a menstrual cycle is considered as SAFE PERIOD. If one wants to avoid pregnancy avoid intercourse during fertile period. Safe period is safe for sexual activity. but kumbuka hizi hesabu sometimes zinakwenda wrong so the best way weye na mkeo mtumie condoms ama kuna njia nyingi za kuzuia mimba kama oral contraceptives etcl ...

hako kachombo kanakoitwa test plegnancy kanao uwezo wa kudtect ujauzito kuanzia muda gani toka siku tuliyojamiana?

Kwa jinsi ninavyojua ni siku ya saba nakuendelea baada ya kujamiana. Inawezekana kuna mtaalam zaidi yangu anaweza kunirekebisha kama nimekosea.

Wanajf wenzangu hivi ni muda gani muafaka ambao utaweka bayana majibu ya mwanamke aliyepata ujauzito?Je wiki 1,2,3,mwezi au miezi?Naombeni msaada katika hilo......Maalumu kwa wale wenye utaalamu na maswala ya afya.

Kuna rapid test tools siku hizi wanauza Tsh. 1,000/= pharmacies. Ndani ya mwezi unanunua na kuweka mkojo wako jibu linakuja kama imenasa au la? Otherwise subiri baada ya mwezi na kama hujaona siku zako (hedhi), basi kathibitishe hospitali..

P.didy nifafanulie bwana.Nitatambua kwa matendo kwani mimba ina viungo?

Ahsante kwa mawazo yenu....Hivi hicho kipimio kina uwezo wa kuitambua baada ya muda gani kupita?

rapid test zinaweza kuonyesha kuanzia 2 weeks

lakini pia zipo ambazo after 1 week zinaonyesha.

P.didy nifafanulie bwana.Nitatambua kwa matendo kwani mimba ina viungo?

unajua bwana wengine huwa tunatambua mapema hata ndani ya week
kwanza unaweza kuanza kupenda vidagaa vidagaa..mlenda...na vingine vingi
Kuna baadhi ya viharufu vinaanza kukukera na vingine kuvipenda ..hiyo ni kama mwili wako uko vere Sensitive
Ila nzuri ni vipimo.
Unahisi kamenasa?

Hivi kwa mwanaume kuna hali gani unahc kama umempa demu mimba au mpaka akuambie?
Maana wanaume tumekuwa tunashtukizwa tu.

Hivi kwa mwanaume kuna hali gani unahc kama umempa demu mimba au mpaka akuambie?
Maana wanaume tumekuwa tunashtukizwa tu.
Nasikia kuna wengine kama umempa mwanamke mimba na wewe unaanza kusikia kichefuchefu.
Sijui kama kuna uhusiano wowote

utaanza kuoana asibuhi mapera yanakuwa makubwa kuliko kawaida na jioni mapera yanakuwa madogo kuliko kawaida. Ukiona tu hivyo lama ulikuwa unaruka majoka na mtoto wa shule anza mapema kutafuta wadhamini.

rapid test zinaweza kuonyesha kuanzia 2 weeks

lakini pia zipo ambazo after 1 week zinaonyesha.

FL 1, hapo kwenye bold mbona umeongea kitu kile kile. Yes! Uko sahihi.
Toka yai kurutubishwa ktk mrija wa uzazi(fallopian tube) inachukua wastani wa siku 6-8 ndipo lijikite ktk ukuta wa mji wa uzazi (uterine wall). Likiisha jikita ndipo kondo (placenta) huanza tengenezwa. Kondo ndilo hutoa kichocheo/hormone cha HCG. Kwa kutumia UPT (Urine pregnancy test) strip unapima uwepo wa HCG ktk mkojo, kama ipo basi mimba imekubali kama hakuna basi hakuna. Kwa kuwa HCG inaanza tengenezwa kati ya siku ya 12-14 ktk kiwango kidogo na kiwango chake kuendelea kuongezeka kwa kasi, then, mhusika anaweza pima kuanzia siku ya 16, toka siku walipo "do" na kuhisi anaweza akawa amepata mimba, na kuendelea.

Siku/wiki za mbeleni anawezafanya utrasound, n.k.

N.B. Siku nilizo zitaja ni respect to siku yai liliporutubishwa na si respect to siku za hedhi.

Hivi kwa mwanaume kuna hali gani unahc kama umempa demu mimba au mpaka akuambie?

Maana wanaume tumekuwa tunashtukizwa tu.

Nianze penye nyekundu, hilo ni tatizo la wanaume wenye akili ya utoto(immature) na wale mature lakini hawajali. Na usifikiri wanaume wenye perfect mind wanaweza kushitukizwa, NO
Ni tatizo lao au lenu kwasababu hamna taarifa za sahihi za kutosha ya kwamba ktk kalenda ya mwezi ya mwanamke lini anawezapata ujauzito, kuna uwezekano gani wa mimba hiyo kuwa mtoto wakike au wakiume, namna gani nizuie ili mimba isitungwe, na kadha wa kadha. Hapohapo mnajifanya mnajua na hamtaki kujifunza kwa usahihi. Men, I hate this bad character and a kind of living, bare with me.

Nikija ktk mada, mwanaume makini anakuwa na mtazamo mmoja kati ya hii miwili. Mosi, kama mme-do ktk tarehe za hatari na hakuna tahadhari/kinga ya mimba iliyotumika na hukutaka mimba itungwe wakati huo, basi hofu,mashaka,wasiwasi + kujilaumu na majuto ya mwenzi kuwa na mimba ktk wakati usiotaka inaanza kutawala. Na taratibu inakuwa kwa kadiri unavyowazia na siku kusonga huku ukisikilizia ktk mwezi huo mwenzi kukupa taarifa gani.
Pili, kama mme-do ktk siku za hatari, no kinga, nawe unataka apate mimba basi hamu ya kusikia kuna dalili za kutoziona siku za hedhi za mwenzi au dalili yoyote ya mimba inakuwa kubwa kwa kadiri siku zinavyokwenda. Akikwambia "ninamimba" ni bonge la furaha. Akikwambia "nimeanza kuziona siku zangu", loh! Unyonge unaingia taratibu.

Kama hujui, mmoja kati ya mitazamo hiyo miwili itakufika kwa ghafla kama asubuhi.

Ni kweli first lady nahisi imenasa sababu ni wiki sasa cjaziona si*** zangu.Yale mambo yetu ya kila mwezi yale..............

Mnyamahodzo nifafanulie tafadhali,ulivyoandika ni respect yai kurutubishwa unamaanisha nini?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…