Nashukuru kwa hoja na michango ya kila mtu hapa, mimi pia ni mwanamke na kwa kweli nataka sasa kuanza kuzaa na ningependa sana mtoto wa kwanza awe wa kike.
Kugurumweupe nimekupata vizuri sana kaka, ila sasa mimi na siku machanganyiko ndefu na fupi. hapa sijui utaweza kunisaidiaje. Na hiyo 15th day ndo umeniacha njia panda kabisaaaa. Maana kwa uelewa wangu, nikivipi utaanza hesabu kwa kurudi nyuma mpaka upate the 15 day while itakuwa imeshapita, sasa mimba utapataje na siku hiyo ndo itakuwa imepita. Au ulikuwa ukimaanisha kwa the coming month! naomba kueleweshwa hapo please.
Nimekupata dada Lorain! Lakini kabla sijaendelea naomba nifafanue kama ifuatavo:
Naomba watu wasichanganye
Kalendar ya menstral cycle ninayoongelea hapa na ile
'kalendar ya mwaka' inayohusu tarehe za miezi 12 ya mwaka ambayo huwa tunaitundika ukutani huko nyumbani na maofisini kwetu! This is a very important point to note, otherwise our lesson will be of no importance! Hebu angalia mfano ufuatao:
Assumed Kalendar for Lorain's menstral cycle (assuming she has a 22 days menstral cycly):
1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th,
8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st,
22nd.
Kwa mfano: Katika 'kalendar ya mwaka', today is a 29th day. Lakini kama leo hii hii 'tarehe 29/august/2008'
dada Lorain angeanza ku-bleed (period), basi leo ingekuwa
1st day ya kalenda yake kwa mwezi huu wa August 2008! Na kalendar yake ingeonekana kama hapo juu. Na
8th day ya kalendar hii ingekuwa ndiyo fertile day yake (siku ya mimba). Kwa hiyo tusichanganye kalenda ya mwaka na kalenda ya menstral cycle! Is very important!
Kwa hiyo basi, leo hii hii Lorain anaweza ku-pin point siku ya mimba yake (
8th)kwa mwezi huu wa August kwa kutumia utaratibu wa ku-count 15 days backward from the last day (22nd day for this case) of her above menstral cycle kama tulivoona kwenye posts zilizotangulia. Lakini hili litawezekana tu
if and only if she knows in advance the length of of her mentral cycle (i.e. total days of her cycle which is 22 days for this case)!
Hapa tunaona kwamba, jambo la kwanza ambalo Lorain anatakiwa ajuwe ni ku-establish the length of her menstral cycle/s. Akishajua urefu wa menstral cycle yake itamurahisishia kui-pin point ile siku yake ya mimba kwa kutumia njia ya counting backward 15 days from the last day kama tulivojifunza hapo awali!
Swali: Lorain atawezaje kuestabliush the length of her menstral cycle/s?!
Jibu: Kama Lorain ameanza ku-bleed leo 29/08/2008, na kama leo hii hii Lorain bado hajui urefu wa menstral cycle yake, basi itabidi ai-note/aiandike siku ya leo kwenye diary yake kwa kumbukumbu (reference point), halafu aanze kuhesabu kuanzia leo 1, 2, 3, 4, 5, ... mpaka siku atakapopata next bleed ambayo definitely itaangukia kwenye tarehe yeyote ya mwezi ujao (September). Kama kwa mfano Lorain ana menstral cycle ya siku 22 na ameanza ku-bleed leo, basi her next bleed itakuwa tarehe 19/sepember/2008 (
22nd day-
which is the last day of the first menstral cycle and it will automatically become the first day of the second menstral cycle as we will see below). Kwa hiyo tarehe 19/09/2008 ndiyo itakuwa the 22nd day for Lorain's mentral cycle which started today 29/08/2008 (
1st day), na tarehe 5/09/2008 (
8th day) itakwa ndiyo siku yake ya mimba (fertile day).
Hence note that, if
Lorain's first bleed is today 29/08/08 (
1st day), then her second (next) bleed will be on 19/09/08 (
22nd day). That is why in the above Lorain's Kalendar both
1st and
22nd days are marked in blue colour to let you know that they actually represent
the same event, the bleed or period event! Therefore, on 19/09/2008, Lorain will start counting her second (next) mentral cycle, which, will actually end on 10th/October/2008 and its . That is why is called
CYCLE!
Where you end is where you start in order to make another cycle and so on and so forth ...!
Kwa vile Lorain amedai ana cycles mbili, yaani fupi na ndefu, basi inabidi afuate the same procedure kama ile tuliyojifunza hapo juu (22 days cycle) ili aweze kuestablish urefu wa menstral cycle yake ile ndefu e.g 35 days cycle! Wanawake wengi wana cycle 2!
Swali: Je, nifanye nini ili nizae mtoto wa KIUME:
Jibu: Ili mwanamke aweze kuzaa mtoto wa KIUME, inabidi alale na mwanaume
siku ile ya mimba (fertile day), ambayo ni siku ya 15 unayoi-pin point when counting backward from the last day!
Swali: Je, nifanye nini ili nizae mtoto wa KIKE:
Jibu: Ili mwanamke aweze kuzaa mtoto wa KIKE, inabidi alale na mwanaume
siku 3 kabla ya ile siku ya mimba (yaani siku 3 kabla ya ile fertile day)! Hii inaondoa uwezekano wa mbegu za kiume kulirutubisha yai, kwani mbegu zote za kiume zitakuwa zimeshakufa ndani ya siku mbili za mwanzo na kuziacha zile za kike zikidunda kwa siku moja zaidi zikilisubili yai lifike!
Swali: Je, kama menstration cycle yangu ni siku 15, nifanye nini ili nipate mtoto wa kike?
Jibu: Ili mwanamke mwenye menstration cycle ya siku 15 aweze kuzaa mtoto wa KIKE, inabidi alale na mwanaume
siku 3 kabla ya siku ile ya bleed (yaani siku 3 kabla ya ile siku anayoanza kutokwa damu ya hedhi)!
Kwa mwanamke wa kundi hili inabidi tukumbuke kwamba, siku yake ya mimba ndiyo siku hiyo hiyo anayoanza ku-bleed!
NOTE: Majibu yote matatu tuliyoyaona hapo juu na katika posts zilizotangulia yana-aply kwa wanawake wote wenye uwezo wa kuzaa, yaani wasiokuwa na utasa [/B]!
Nawakilisha wakuu.