Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Ama kweli nimefunguka sisi ambao tulikimbia kuclem bilogy.
Thanks to you all mliochangia kuna kitu nimegain
Shukrani sana Kungurumweupe kwa somo lako ambalo limekidhi haja ya wengi waliobahatika kukutana nalo,ila tusiwe wachoyo kwa wale ambao hawakubahatika.
Naomba kuuliza swali moja!Kidogo uligusia swala la artificial family planning kama sindano n.k.Ukweli ni kwamba hili somo ni nadra sana kupatikna ndio mana kina dada/mama wengi wamekimbila huko.Swali,unaweza kutujuza athari za hizi artificial family planning mfano kuwekewakitanzi/pete sijui mana kuna mama mmoja nataka kumsaidia.Thanks in advance.
 
wewe kama ni mwalimu una stahili kuachishwa kazi mara moja.
 
nimeangalia vipande vitatu imenishawishi kidogo
huwa siangalii type hizi ila kwa ajili yako tu
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Waoh nimepata elimu mpya ya kuhesabu siku 15 kurudi nyuma....
Swali: hii siku ya 15 ndo pekee ya kupata mimba katika mwezi wote?? Mf. Mzunguko wa siku 28 tunaona kuanzia siku ya 11-14 ni siku za kupata mimba.
 
Kivipi mkuu?
Mtu akisoma huu ufafanuzi wako hapa akimaliza lazima ameze hedex. Kama ni mwalimu wewe hao wanafunzi wana kazi sana
 
Hiyo ni siku yai linapevuka(kwa nilivyoelewa) hivyo hapo inabidi urejee ile elimu ya sperm kuwa huwa zinakaa kwa muda gani kabla ya kuharibika,na yai pia hukaa kwa muda gani baada ya kupevuka kabla ya kuharibika,ili uweze kuzitambua siku za hatari.
 
Mtu akisoma huu ufafanuzi wako hapa akimaliza lazima ameze hedex. Kama ni mwalimu wewe hao wanafunzi wana kazi sana
Haha ulishawahi kukutana na ile hali ya kuiona thread ya mtu anaomba msaada alafu wewe uwezo wa kumsaidia kimawazo unao, yaani unafeel kabisa uchangie neno lako lakini sasa umechoka sanaa kutype au uko bize sana?
Hiko ndo kilichontokea, nilijua tu mwenye thread atajiongeza kupitia michango ya watu wengine
 
Kunguru mweupe yupo sahihi njia hii ni sawa na kusema chukua urefu wa mzunguko wako to a 14 na ukihesabu kurudi nyuma ndo waangukia siku hiyo hiyo ya 15
 
Siwezi kukataa kuwa yupo sahihi au hayupo sahihi.Ninachouliza ni wapi naweza ku-verify maelezo yake iwe recognized books maana haitoshi tu kusema wanasayansi wengi hawajui hill tukaamini bila kujua yeye kapata kwa mwanasayansi gani wakati vitabu Vinci Na hats madaktari wanatumia kuhesabu from day one.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua mzunguko wake toa 14 zinazobaki toa nne hapo utafanikiwa,

Lakin pia chukuA mzunguko wake toa 14 jumlisha 3 hapo ndio siku ya mwisho baada hapo siku za hatar kwishney mpaka tena mwez mwingne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…