Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

maelezo yako yana upungufu Calendar zinabadirika kuna mwezi wa 28,30,31 sasa unaposema mtu atengeneze kalenda yake unamchanganya
1:jua mzunguko wako kwanza 22-35
2:Tarehe ya mwisho ya bleed yako kukata ndio tarehe ya kuanza mzunguko wako,mzunguko mmoja hadi mwingine ni siku 22-28
 
Habari zenu wapenz, naomba kuuliza swali
kwa mwanamke aliyeingia period mwez oct then mwez ulofatia November yote pia hakuona siku zake, Je,kunauwezekano kwa mtu huyu kushika ujauzito?
 
Habari zenu wapenz, naomba kuuliza swali
kwa mwanamke aliyeingia period mwez oct then mwez ulofatia November yote pia hakuona siku zake, Je,kunauwezekano kwa mtu huyu kushika ujauzito?
Naomba nijue kwanza unataka upate ujauzito wewe au unatusumbua bure wengine!??
 
Unaweza ukawa umenasa, umesema huna mpangilio maalumu wa hedhi, je ni mpangilio wa tarehe (i.e tarehe zinatofautiana kila mwezi/mzunguko) AU ni kuwa kuna miezi huwa inapita bila kwenda angani/mwezini..

Mara baada ya kuona siku zako kwa Mara ya mwisho ulikua unatiana Mara kwa Mara?

Mwisho unaweza kwenda pharmacy yoyote karibu yako waambie unataka kipimo cha mimba cha mkojo, kinaitwa UPT test afu utapata jibu la uhakika.
 
Tareh zinatofautiana kila mwez alaf pia nawezapitisha mwez mzma bila kuingia period
 
Unatatizo kama la mke wangu, yeye amekata tamaa kupata mtoto ila mimi naamini tutajaaliwa tu
Aisee kwa hiyo ukiwa na hali tatizo uwezekano wa kupata mimba unapungua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…