Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Aisee kipindi cha JF kwenye maarifa mengi zaidi ya mizaha ya sasa
 
we jidai eti unajua mahesabu utabeba mimba mno!

hakuna mwanamke mzunguko wake unatulia kwa miezi kadhaa kwamba tarehe yake ni ile ile ile bila kubadilika tusidanganyane.

dawa : kama hutaki mimba uhakika ni kumuambia shemeji awe anamwaga nje hio ndio dawa .

we jifanye kujijesabisha vi'siku utakwama.
 
Wakuu naombeni kujua, eti mwanamke anabeba Mimba Muda wowote tu au kuna Muda maalumu wa kubeba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…