Tarehe ya Kuanza kwa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya

Tarehe ya Kuanza kwa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya

Totalman

Member
Joined
May 30, 2013
Posts
40
Reaction score
10
Wandugu mimi ni mjumbe wa baraza la katiba la wilaya ila hadi sasa hamna clue yoyote kwa tarehe halisi ya kuanza mabaraza hayo japo tuliambiwa yanaanza mwezi huu wa sita na wiki imeshakatika. Kuna mwenye tetesi yoyote? Nataka kujipanga vyema kutetea hoja yangu ya Serikali moja maana sijawaji kuona muunganiko wa nchi mbili kuwa 3 hili litakuwa muendelezo wa maajabu mengine mengi ya nchi yetu............
 
Back
Top Bottom