Tarehe ya kufa na kufufuka kwa Bwana Yahushua Masiha

Tarehe ya kufa na kufufuka kwa Bwana Yahushua Masiha

z12f

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
704
Reaction score
572
Bwana Yahushua Masiha alikufa saa tisa mchana, Friday 7th April, 30 AD. On the 14th day of the first biblical month that is called the month of Abib. It was the sixth day of the week.

Alifufuka Sunday very early in the morning 10th April (kabla ya jua kuamka), 30 AD.

On the 16th day of the first biblical month that is called the month of Abib. It was the first day of the week.

Siku za kisasa zina anza saa sita usiku. While siku za kibiblia zina anza baada ya jua kuzama jioni.

NB: Unaweza kunote kwamba masaa yote ya siku ya sabato (the seventh day of the week) Bwana Yahushua alikuwa kaburini.

 
Back
Top Bottom