tarehe ya kuriport DIT ni lini?

Erick tryphone

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
387
Reaction score
84
Anae jua tarehe ya kuriport Kwa walio chaguliwa kujiunga na chuo cha dar instute of technology(DIT) ni lini?
 
kujiunga na nini?
kama ni pre entry course ni kuanzia 15july hadi 20july.
 
Nimejalibu kuangalia kwenye tovuti yao lakini sijaona tarehe ya kuriport
 
Unajua nini tatizolinakuja mdogo wangu bado hajaletewa joining instruction hadi leo tokea wizara itangaze majina ya wanao enda form 5 na wanao enda technical school ndio maana nilikua nataka kufahamu tarehe ya kujiunga DIT ili wazazi waanze kujipanga kutafuta pesa za kumpeleka DIT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…