Tarehe ya kuripoti kwa waalimu wapya

Tarehe ya kuripoti kwa waalimu wapya

Kigwema

Member
Joined
Oct 29, 2014
Posts
50
Reaction score
29
Jamani naomba kujua, hivi baada ya majina ya waalimu kuondolewa na tangazo la kusitisha ajira mpya, je kwa sisi tuliokwishaona halmashauri zetu tunaruhusiwa kwenda kuripoti tarehe moja? Maana wengine tayari tupo safarini lakini tunaambiwa zimesitishwa!

Tunaomba ufafanuzi kwa anayefahamu please! Au turudi home??
 
inakubid urud ndg kwa sababu kama wamefva zile ajira manaake na tar ya kulipoti na pia inawezekana na sehemu ya ajira ikabadilishwa
 
ajira zinapangwa upya zote so kunakubadilishwa halmashaur uliyopangiwa sasa au kubak so wait mpk watoe tena majina upya
 
ajira zinapangwa upya zote so kunakubadilishwa halmashaur uliyopangiwa sasa au kubak so wait mpk watoe tena majina upya

Sijakuelewa madam v.....je ajira ziliOtoka jana ni batili au.....ebu funguka ndugu!!!!!! sasa wanarudia ili iweje mana tunajua kuanzia tarehe 1 mwezi wa tano hadi tisa
 
ajira zinapangwa upya zote so kunakubadilishwa halmashaur uliyopangiwa sasa au kubak so wait mpk watoe tena majina upya

Mhhhh!! Mbona itachukua muda sana kupanga Upya hizo halmashauri? Wala sidhani kama ni ishu nyepesi kupangua waliopangwa na kuanza kupanga upya.
 
Issue ndo walitaka kufanya gelesha ya hivyo hapo kitu hadi mwakani hiyo nilitaka nishangae aisee!
 
Hapo kwenye panga pangua lolote linaweza kutokea kubaki au kuhamishwa.
 
swali ka msingi liko pale pale wakaripoti au wasubiri majina yatoke upya?
 
swali ka msingi liko pale pale wakaripoti au wasubiri majina yatoke upya?

kwa taarifa niliyoipata ni kwamba kuna chuo walimu hawajapata vituo vyao manaake hawakuwepo kwenye list ya jana ambacho ni SEKOMU
 
uongoz wa hicho chuo wamefanya utoto sijapata kuona, yan kupeleka majina ya wahitim 2013 wakat walitakiwa 2014? au ndo scandal inatengenezwa tamisemi wapate sabab?
 
wasubir,wataripotije wakat ajira zimefutwa??

Sio zimefutwa , stop distorting people's mind, orodha ya majina ndo imeondolewa kwa mda kuwatoa wale ambao hawastaili na kuweka wanao stahili.. na kuweka mtiririko mzur wa idad
 
kwa taarifa niliyoipata ni kwamba kuna chuo walimu hawajapata vituo vyao manaake hawakuwepo kwenye list ya jana ambacho ni SEKOMU

yeeah naelewa kiongozi swali lilikua ikitokea wamechelewa kuyapost upya watu wakaripoti au wasiende? wasubiri mpaka yatakapo tangazwa tena?
 
Kwa taarifa nilizopata ni kwamba Kama unajua kua wewe ulishapangwa na unajua halmashauri au kituo basi unatakiwa kwenda kuripoti kama kawaida.
 
Kwa taarifa nilizopata ni kwamba Kama unajua kua wewe ulishapangwa na unajua halmashauri au kituo basi unatakiwa kwenda kuripoti kama kawaida.

taarifa hizo umezipata wapi kaka? ni za uhakika,maana twahofia kuunguza nauli...
 
kwanini tamisemi wasituweke sawa juu ya jambo hilo! ikiwa watu wanapaswa kuripoti kwa tarehe zilezile? ikiwa ndiyo zimefutwa kwa wote hivyo watatoa tena huku zikiwa na mabadiliko kwa wote hata wale ambao hazikukosewa particulars zao na hivyo hatupaswi kuripoti! wangetuweka wazi kwa kauli iliyo wazi isiyo na utatinishi...wangetoa taarifa zisizokuwa na utata!
maana kuna watu wako safarini hawajui kuhusu tangazo lililotolewa, itakuwa busara wakituweka wazi sote maana haya ni maisha na hayatakiwi kuchezewa kamari!!!
 
majina wanayapanga upya yote bt ikitokea umeachwa kituo ulichopangiwa sasa bac utaenda huko ila tarehe ya kuripot haitabadilik coz hat mwaka walipanga majina baadae wapangua upya ila waliripot tarehe iliyokuwa imepangwa awal na mabadiliko ya majina lazima watayatoa before trh 1.5 and i think it will be 2moro
 
Back
Top Bottom