Tarehe ya kuripoti sjucast

Roman Matau

Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
9
Reaction score
0
Eti wkubwa naombeni kufaham tarehe y kuripot st joseph songea maana joining instruction waloni2mia siielewi vle, coz wamenambia nimechaguliwa bachela of technolgy in agriculture ila wameandika n ordinary diploma ya miaka miwili. Naomben uffnuz kw anaefaham please.
 
Kijana Roman Bachelor na Ordinary diploma ni vitu viwili tofauti; Bachelor ni shahada ambayo pamoja na mambo mengine hutolewa baada ya mhitimu kuisotea si chini ya miaka mitatu na isiyozidi zita(Excluding wanaolazimika kusoma kwanza lugha ya taifa aliloenda kuchukua taaluma) O.D ni vocational qualification level ya tatu!

Mbili,kama umeshaweza kuingia JF na kupost walau ujumbe ina maana una uelewa kwa kiasi chako kwenye matumizi ya mtandao,sina hakika kama chuo tajwa hakina website ambayo inagekujibia maswali hako kwa usahihi zaidi kuliko utakayopata humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…