nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Kwasasa mteja anaetaka kununua King'amuzi cha Azam anatakiwa kutaja tarehe yake ya kuzaliwa, ingawa sijafahamu kuna uhusiano gani kati ya tarehe ya kuzaliwa na kununua King'amuzi.
Kama Azam Media Ltd wanahitaji taarifa kamili za mteja kwanini wasimuombe mteja kitambulisho cha taifa au kama anazo namba (NIN) kwa wale ambao hawajakabidhiwa kitambulisho.
Kama Azam Media Ltd wanahitaji taarifa kamili za mteja kwanini wasimuombe mteja kitambulisho cha taifa au kama anazo namba (NIN) kwa wale ambao hawajakabidhiwa kitambulisho.