nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Ni sawa pia wangeomba National Identity Number "NIN" kwasababu wakianza na tarehe watafuata Kabila.Probably wanataka kufanya tathmini ya walaji wa maudhui fulani dhidi ya umri wao na jinsia.
Dunia ya sasa kila mtu anataka namba maandalizi ya mpinga kristo ndicho kinachoendelea dunianiKwasasa mteja anaetaka kununua King'amuzi cha Azam anatakiwa kutaja tarehe yake ya kuzaliwa, ingawa sijafahamu kuna uhusiano gani kati ya tarehe ya kuzaliwa na kununua King'amuzi.
Kama Azam Media Ltd wanahitaji taarifa kamili za mteja kwanini wasimuombe mteja kitambulisho cha taifa au kama anazo namba ( NIN ) kwa wale ambao hawajakabidhiwa kitambulisho.
Kama sababu ndiyo hii basi ingekuwa busara waweke wazi na waombe ridhaa ya mteja kama anataka kuingia kwenye survey yao kwa kutoa tarehe yake ya kuzaliwa.Probably wanataka kufanya tathmini ya walaji wa maudhui fulani dhidi ya umri wao na jinsia.