Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

01/11/1982 nimepaya namba mama 5,lakini ukiondoa kipengele cha kazi sifa zingine zote sina,hapa kwangu imekaaje?.
Tarehe za kuzaliwa mara nyingi tunakuwa tunaelezwa na wazazi au walezi wetu hivyo akikosea hata tarehe moja tu hili somo la namba lazima litoe majibu tofauti.
 
Hii kweli kabisa mi hapo ni 6 kiukweli uliyoandika ndo yananutokea mi naombwa msaada sana na watu hata walionizidi kipato na mamlaka
 
Mbona ka kweli hiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeweka muendelezo ambao unahusu mzunguko wa maisha 9, 11 na 22.
 
Hmm, haya mambo buana πŸ˜‚
 
Nikipata muda inabidi niendelee kueleza kuhusu haya maarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…