Tarehe ya leo (12.02.2021) ni "rare palindrome"

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Posts
11,129
Reaction score
7,321
Tarehe hii inasomeka sawa kutoka kotekote, yaani kutoka kulia kwenda kushoto, na kutoka kushoto kwenda kulia. Huwa ni adimu sana kwa tarehe za namna hii kujitokeza
 
Ukiachana na kwenda mbele na kurudi nyuma! Ina fursa gani zaidi[emoji2]? Au hivo tu?
 
Birthday imepita hata bila kujua huwezi amini nilikua naamini leo ni tarehe 6.
 
Nyingine hii ya mwaka jana

This is not a palindrome.
Please revisit your dictionary
 
Ukiachana na kwenda mbele na kurudi nyuma! Ina fursa gani zaidi[emoji2]? Au hivo tu?
Fursa wapi basi, kupotezeana muda tu. Yaleyale tu ya eti ukiona mvua inanyesha na jua linawaka simba anazaa
 
Tarehe hii inasomeka sawa kutoka kotekote, yaani kutoka kulia kwenda kushoto, na kutoka kushoto kwenda kulia. Huwa ni adimu sana kwa tarehe za namna hii kujitokeza
Mwalimu Makanyaga wa Gairo unamjua
 
kwahyo hizo namba nkizichakata vipi nipate hela ya kubeti??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…