Tarehe ya usaili mikoani imeshatangazwa

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
880
habari wakuu tarehe ya usaili kwa wale watu wa mikoa ya dsm,kilimanjaro, manyara, tanga extra imeshatangazwa ingia website ya utumishi then naomba mnitajie mkoa wa kilimanjaro tunafanya lini na mahali gani kwani kisimu changu kimegoma kufungua thanx
 
Kuanzia Tarehe 25/10/2012 hadi 02/11/2012. Shida ni kwamba hawajaonyesha mahali pakufanyia usaili.
 
WE CHIETH umeangalia vibaya. Kilimanjaro na Arusha ni Tarehe 25 na 26 ofisi za wakuu wa mikoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…