Tarehe yaleo mwanangu angetimiza mwaka 1 kamili

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Kuna wanawake makatili sana duniani, mwenzenu naandika uzi huu kwa uchungu sana, leo ilikuwa tarehe ambayo mwanangu angetimiza umri wa mwaka mmoja.

Kabla ya kuendelea mbele naomba niwajulishe kuwa rambirambi zote napokea PM.

Iko hivi, nilimtumia demu nauli ya kuja geto na akala nauli. Laiti kama angekuja ningemtia mimba sikuileile na leo mtoto angetimiza mwaka 1.
 
Attention ilikuwa kubwa snaa ila ulivamliza hyo habr sasa😴
 
Palipoungua mpini ndio hapo hapo jembe lilipokatika...
 
Ila nchi hii uhuru umepitiliza, Gen Z wa bongo wengi wao ndio mwisho wa fikra zao huu hapa.
Unaweka uzi wa kijinga kweli kwenye jukwaa kubwa la watu wenye fikra yakinifu?
 
Kuna wanawake makatili sana duniani, mwenzenu naandika uzi huu kwa uchungu sana, leo ilikuwa tarehe ambayo mwanangu angetimiza umri wa mwaka mmoja.

Kabla ya kuendelea mbele naomba niwajulishe kuwa rambirambi zote napokea PM.

Iko hivi, nilimtumia demu nauli ya kuja geto na akala nauli. Laiti kama angekuja ningemtia mimba sikuileile na leo mtoto angetimiza mwaka 1.
Wwe kweli ni Vichekesho!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom