Tarehe za kuriport st. Joseph university zatajwa

DULLAHYO

Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
24
Reaction score
2
gazeti la mtanzania la jtano leo limetoa tarehe na siku za kuripot chuo kwa undergraduate
 
gazeti la mtanzania la jtano leo limetoa tarehe na siku za kuripot chuo kwa undergraduate

Kwa kutosema tarehe ya kufungua hicho chuo au walau kuleta hata link hapa jamvini unadhani bandiko lako linasaidiaje wanafunzi wenzio waliomo humu jamvini?
 
gazeti la mtanzania la jtano leo limetoa tarehe na siku za kuripot chuo kwa undergraduate

kama umeweza kututajia siku umeshindwa nini kututajia tarehe?
MULUGO PRODUCT
Tanzania ni muungano wa Tanganyika na visiwa vya zimbabwe.!
 
Eti huyu naye anatarajiwa kwenda chuo kikuu? Yaani TZ tuna taabu sisi!!

yaani tabu kubwa sana,bado nina mashaka makubwa sana eti vijana ndio watakuwa wakombozi wa taifa hili(kwa akili mgando kama za mleta mada kazi tunayo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…