Aiseee!
Wacha kabisa!
Nina experience kwa mke wangu ishu kama hiyo tukapoteza mtoto.Tarehe ya kwenye kadi ilikuwa jana 12-11-2010 lakini bado yani hata sisikiii chochote halafu nimevimba kama kiboko! Shida ni nini jamani wenye uzoefu nisaidieni basi.
Jana nimeenda wamenipimapimaaa! Wanasema wiki ijayo kama bado basi itabidi kisu mwenzenu nakiogopa hicho!!!!
Niombeeni jamani mwenzenu.
:tape::tape::tape::doh::yield::wave:
:tape::tape::tape::doh::yield::wave:
:nono::nono::nono::nono:
Da Sophy ukisikia ukubwa ndo huo dada kubali kisu yaishe maana usije kosa mtoto bure sababu ya uoga wa kisu kubali tu
Tarehe ya kwenye kadi ilikuwa jana 12-11-2010 lakini bado yani hata sisikiii chochote halafu nimevimba kama kiboko! Shida ni nini jamani wenye uzoefu nisaidieni basi.
Jana nimeenda wamenipimapimaaa! Wanasema wiki ijayo kama bado basi itabidi kisu mwenzenu nakiogopa hicho!!!!
Niombeeni jamani mwenzenu.