TARI Naliendele msituharibie mbegu

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,988
Reaction score
4,152
Kwanza napenda kujua nani anayewafadhili kwenye miradi ya kubadilisha mbegu za asili na kutuletea hizo mbegu za kisasa ambazo wakulima wanaolima kibiashara wanazipenda. Sisi walaji wa karanga tunataka mbegu nzuri za asili zenye lishe iliyokamilika sio hizo Hybrid na GMO.

Naomba TARI mje hapa kufanya clearence ya tuhuma hizi.
Nahisi mnafadhiliwa na Monsanto au Syngenta
 
Waafrika tumebaki kama wajinga fulani..
 
Wewe unajua asili ya karanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…