JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Kwa hali ilivyo sasahv duniani kuna vita kubwa ya tariffs kwenye bidhaa mbalimbali toka nchi mbalimbali ambapo tumeshuhudia Trump akiongeza tariffs dhidi ya mataifa mengine kwa takribani asilimia 10% hadi 25%.
Nchi yetu ina tariffs za magari yatokayo nje ya around asilimia 100%, hii sijui imekaaje kitaalamu nahisi labda tuliowapiga hizi tariffs hawajatushtukia lakini Trump akijua kama tumewapiga tariffs za kuagiza magari yao kwa asilimia zoote hizo najua atalipiza kisasi kwenye export zetu za ma jeans, mazao, madini, korosho, kahawa na tutashindwa kuuza kwa ushindani wa bei maana bei yetu itakuwa juu mno.
Serikali iangalie hizi tariffs zetu kama nao wakiamua kwenda na sisi tit for tat ,TRAB NA TRAT🤗 tutaumia sana sisi