Tarimba: Akitokea mtu akipuuza kazi ambayo imefanyika katika Taifa hili inabidi akapimwe akili

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Abbas Tarimba, amesema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa za maendeleo, na kwamba mtu yeyote anayepuuza kazi nzuri iliyofanyika katika taifa hili anapaswa akapimwe akili. Ameyasema hayo leo, Novemba 2, 2026, Bungeni, Dodoma.


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…