PreGE2025 Tarimba ataka CCM kumchukulia hatua Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mnahahaa, kulinda nchi sio lelemama
Unalindaje nchi kwa kuua, kutesa na kuteka wananchi kama njia ya kupata Urais? Wanaume wa Tanganyika msikubali ujinga wa ccm kumtawaza Huyu mwanamke ambapo huko kwao hata siku moja asingetawazwa!
 
Umeandikaje! Hakusema mtu atobolewe macho, alitoa mfano tu ili somo lieleweke. Mf unaona mtoto anapigwa bila sababu, kwa kuwa sio wako unachukulia poa, je angekuwa wako ingekuwaje? Hapo sijasema mtoto wako apigwe. Tuwe tunaelewa mantiki kabla ya kuongea. "Logic ".
 
Unalindaje nchi kwa kuua, kutesa na kuteka wananchi kama njia ya kupata Urais? Wanaume wa Tanganyika msikubali ujinga wa ccm kumtawaza Huyu mwanamke ambapo huko kwao hata siku moja asingetawazwa!
SSH-5Tena
 
Wazenj usenge huo hawakubali ; wamewaschia nyie mahanithi wa Tanganyika!
Hao ni wanyamwezi wa Tabora, hakuna Mzenji huko, kuanzia leo jiite mnyamwezi
 
HE
HE IS A MAD MAN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…