Vipi kiongozi anapowakosea heshima wananchi na kujimilikisha rasilimali na mali zao, kutumia hovyo kodi zao. Wakipinga anawateka, kuwatesa na kuwapoteza.
Nani wa kuwalinda wananchi na kumuwajibisha kiongozi Jambazi, fisadi kuu?
Ilitakiwa kuwa bunge, mahakama kufanya hiyo kazi lakini wote bungeni mmegeuka kuwa chawa wa Samia.