Hawaongelei kabisa kuhusu kupunguza posho zaoSerikali ya ccm kwa sasa ni sawa tu na sikio la kufa!
Kwao gari ni anasa na sio basic needs.Nimemsikiliza katoa ushauri mzuri kila siku tunasema unapoongeza kodi kwenye bidhaa mfano magari inafikia hatua purchasing power inashuka hivo hata kodi hutoipata lakini, kodi ikiwa himilivu kwanza inachochea mzunguko hata wa biashara na hata manunuzi yatakua mazuri kodi utakusanya sana maana ukuaji ni mkubwa
Kwao gari ni anasa na sio basic needs.
Wao wanataka wachache wamiliki magari na sio wengi,kumbe wangepata pesa mingi kwenye magariNi watu waajabu sana,
Ubunifu wao ni kuandika kwenye mawe kwamba atakuwa rais wa maweCCM haina watu wabunifu hata kidogo
Kuiba ndiyo kazi ambayo wanaiwezaUbunifu wao ni kuandika kwenye mawe kwamba atakuwa rais wa mawe
Suala la kuongeza walipa kodi limetawaliwa na unafiki kuliko uhalisia. Wote wanaopiga kelele kuwa walipa kodi ni wachache vichwani mwao wanaangalia wafanyakazi na wafanysbiashara ambao wanalipa income taxi lakini kiuhalisia wanaolupa kodi ni zaidi ya hao. Isipokuwa majina ndio tofauti lakini pesa yote inaingia hazina. Wakulima wanapouza mazao yao wanatozwa ushuru kwa kila gunia la kilo mia au kwa kutumia vipimo vingine, tofauti hapo ni kuwa wafanyabiashara wa mazao wanalipa tozo hiyo kwa niaba ya wakulima halmashauri kupitia mtendaji wa kijiji kisha wanamkata mkulima katika bei wanayomlipa kwa kila gunia. Fikiria halmashauri zote nchini zinakusanya takribani shilingi bilioni mia sita kutokana na ushuru wa mazao lakini watu hawaoni kama ni kodi wanahesabu wafanyakazi tu. Hebu tupanue mindset. Mfanyakazi anzlipa kila mwezi mfanyabiashara analipa kila robo mwaka na mkulima analipa kila anapovuna na zote hizo zinatiririka hazina japo kwa,majina tofauti. Pili kila mtu anapofanya manunuzi analipa kodi japo hajasajiliwa rasmi.Mbunge wa Kinondoni, Tarimba Gulam Abbas ameishauri Serikali kuangalia utaratibu mzuri wa kupanua wigo wa Walipakodi badala ya kuongeza Kima cha Kodi
Akichangia Mjadala wa Bajeti Kuu amesema, "Tatizo lililopo hasa upande wa Serikali, wanamlenga Mlipakodi wanayemuona. Leo iwe 10% kesho iwe 12% kama njia ya kupandisha Mapato"
Amesema utaratibu huo ni mbaya, akishauri Mamlaka kuweka Kima kidogo ili watu wengi waweze kulipa kodi. Amesema kuweka Kima kikubwa kutapelekea Watanzania kutafuta njia ya kupenya na kutolipa Kodi