Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Nimepata habari mida hii kutoka Tarime kutoka kwa jamaa yangu mmoja kwamba huenda kukatokea vurugu pale kushinda zile za mwaka juzi wakati wa uchaguzi mdogo. Anasema makada wa CCM wanataka kujipenyeza kwa wasimamizi wa vituo lakini vijana wamekaa imara.
Anasema kama kutatokea vurugu na ghasia nchini, basi ni CCM tu ambao daima huwa hawataki kushindwa.
HII TAARIFA INATIA MOYO SANA!!
Anasema kama kutatokea vurugu na ghasia nchini, basi ni CCM tu ambao daima huwa hawataki kushindwa.
HII TAARIFA INATIA MOYO SANA!!