Elections 2010 Tarime mbona kimya?

maselef

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
254
Reaction score
46
Nipo hapa Canada na watanzania wenzangu tunafuatilia matokeo kupitia jamii forum tupo kam mtu 70 hivi. Vipi Tarime mbona kimya?
 
Matokeo yataanza kutolewa kuanzia saa tano usiku mambo bambam CHADEMA iko juu sana. Inaonyesha CCM WAMEELEMEWA NA HAWANA PA KUTOKEA HIVYO WANACHELEWESHA MATOKEO MAKUSUDI. CCM wamegoma kusaini matokeo maana wamebwagwa kwa habari za chini chini, ila tutazidi kuwapasha. TUKO PAMOJA SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…